AJIRA
Fungua ajira portal
Fungua ajira portal kwa ajili ya maombi ya kazi
Kutengeneza Wasifu (CV)
Tunakusaidia kutengeneza CV ya kisasa, yenye muonekano wa kitaalamu na inayokidhi mahitaji ya ajira za sasa. Tunapanga taarifa zako kwa ubora ili kuongeza nafasi ya kuitwa kwenye interview, pamoja na ushauri wa kuboresha profile yako ya kazi. Huduma hii inafanyika kwa haraka, usahihi na kwa muonekano unaovutia wa kimataifa.
Maombi ya kazi
Kutuma maombi ya kazi
BRELA
Maombi ya Jina la Biashara
Huduma ya kusajili jina la kampuni yako mpya au kubadilisha jina. Jina lako la biashara linakuwa lako kisheria.
Maombi ya Usajili wa Kampuni
Usajili kamili wa kampuni mpya (hati ya kuanzisha kampuni). Inakupa nafasi ya kufanya biashara kihalali nchini Tanzania.
ELIMU
Maombi ya chuo
Maombi ya chuo
Maombi ya mikopo ya Elimu ya juu (Heslb)
Maombi ya mikopo ya Elimu ya juu (Heslb)
LOSS REPORT
Maombi ya Loss Report
Kama umepoteza nyaraka yoyote au kitambulisho chochote
NIDA
Usajili wa Kitambulisho cha Taifa
Maombi ya usajili wa mara ya kwanza kupata kwa ajili ya kupata kitambulisho cha Taifa (NIDA).
TRA
Maombi ya TIN Number
Maombi ya Namba ya Utambulisho wa Mlipa Kodi (TIN) kwa ajili ya shughuli za kodi. Inahitajika kwa ajili ya biashara, kupata leseni na ajira.